Skip to main content

Posts

YANGA YAZUIA KOMBE LAKE

Hatimaye bingwa mtetezi wa Kombe la Kagame Yanga ya Dar es Salaam leo imelitwaa kombe la kagame baada ya kumvurumisha Azam kwa magoli 2-0. Hamis Kiiza alifunga goli la kwanza la Yanga dakika chache kabla ya Half Time kabla ya Said Bahanuz kupachika bao la pili na kuwanyong'onyesha kabisa Azam katika dakika za majeruhi za kipindi cha pili. Nadi Haroub alimsifia kocha wake kwa kusema, "Siri kuu ni kocha wetu. Alitupa maelekezo mazuri nasi tukayafuata, ni kocha mzuri sana." Alisikika. Yanga imechukua kombe pamoja na dola 30,000 kama mshindi wa kwanza, huku Azam wakijinyakulia zawadi ya mshindi wa pili na kitita cha dola 20,000, wakati Vita Club ya Congo wakishika nafasi ya tatu baada ya kuwafunga APR magoli 2-1 na kunyakua donge la dola 10,000.

UNAMFAHAMU RYAN GIGGS? NI MCHEZAJI WA "MAN U" NA MZEE WA ENGLAND KWENYE OLYMPIC 2012

RYAN GIGGS  IN   DIFFERENT ACTIONS   DURING THEIR  SOCCER GAME   AGAINST SENEGAL

RYAN GIGGS, THE OLD MAN OF OLYMPIC SOCCER

The Giggs Must Go On . It’s incredible just how far back into archive footage you can go and find Manchester United and Wales legend, Ryan Giggs . Ryan Giggs has been a professional soccer player since before the Internet, since before cell phones were everywhere. He’s been playing for so long, he began his United career before more than a quarter of the world’s current population was born! On the day of his 14 th birthday, Ryan Giggs came home from school in Swinton, Manchester to find Manchester United manager Alex Ferguson waiting for him armed with schoolboy forms and asking for a signature. Some birthday present! On 4 May, 1991, Giggs made his Manchester United first team debut against Manchester City. He was just 17 year-old, and scored his first ever goal in that 1–0 derby win. Way to start! With his boyish pop looks, he captured the public imagination in a way unseen since the days of George Best . Giggs became a pin-up, a poster wonder boy, his face lived ...

HERE ARE 10 PICTURES DURING THE LONDON 2012 OLYMPIC OFFICIAL OPENING

OLYMPIC 2012, LONDON, ENGLAND Fireworks light up Tower Bridge in London on July 27, 2012, during the opening ceremony of the London 2012 Olympic Games   An image of retied British athlete and Olympic medalist Denise Lewis is projected on The Houses of Parliament in London on July 27, 2012, during the opening ceremony of the London 2012 Olympic Games   Russia's flagbearer Maria Sharapova (R) leads her delegation during the opening ceremony of the London 2012 Olympic Games on July 27, 2012 at the Olympic Stadium in London     Former British rower and five times Olympic gold medalist, Steve Redgrave, carries the Olympic flame during the opening ceremony of the London 2012 Olympic Games at the Olympic Stadium in London on July 27, 2012     Athletes gather around the Olympic fire at the end of the opening ceremony of the London 2012 Olympic Games on July 27, 2012 at the Olympic stadium in London    British...

UNAMFAHAMU JOSE CHAMELEON? HIVI NDIVYO VITUKO ALIFANYA HIVI KARIBUNI

Mwanamuziki wa Uganda Joseph Mayanja ama maarufu kama Jose Chameleon , siku ya Alhamisi alileta vurugu kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Kampala pale alipoweka kambi kwenye lango kuu la ubalozi huo akidai arudishiwe paspoti yake. Alilala kwenye mkeka tangu saa 9 usiku na kjifunika kwa blanket na shuka hadi alfajiri. Wanachama wa Leone Island Group waliungana naye na kunyoosha mabango wakimtaka balozi awasaidie kurejesha paspoti zao, Miongoni mwao walikuwemo Dj wake Sulaiman Kaliisa na Denis Kibalama. Polisi waliingilia kati na kulizingira eneo hilo kisha kumhoji Jamaa huyo kwa muda na kuwaomba waondoke eneo hilo lakini walikataa. IGP Lt. Kale Kayihura aliingilia kati na kuwakusanya Jose Chameleon na kundi lake kwenye kituo cha community police post. Kundi la waendesha bodaboda walimsindikiza huku wakipiga honi na kuliimba jina lake njia nzima wakielekea kituoni huko. IGP aliwasiliana na watu huku Tanzania ili wafuatilie jambo lake kwa mfanyabishara Eric Shigongo juu ya kupa...

YANGA vs AZAM KAGAME CUP, NANI MBABE LEO?

Yanga ya Dar leo inakutana na Azam zote za Tanzania katika mtanange wa kukata na shoka wa fainali za kombe la Kagame kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Washabiki wa soka la Tanzania leo wanatarajia kupata burudani nzuri sana hasa kwa kuzingatia ubora wa timu hizo waliouonesha wakati wa mechi za makundi, robo fainali pamoja na nusu fainali. Katika robo fainali Yanga ilimtoa nje ya mashindano hayo timu ya Mafunzo kutoka Zanzibar, wakati Azam wao walimtoa Simba ya Dar. Nusu fainali Yanga walimtimua mashindanoni APR ya Rwanda na huku Azam wakimfungisha virago timu ya AS Vital toka kule nchini Congo. Timu zinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo leo:- Azam: Deogratius Munishi, Aggrey Morris, Erasto Nyoni, Said Mourad, Ibrahim Shikanda, Ibrahim Mwaipopo, Abubaker Salum, Kipre Tchetche, Jabir Aziz, Ramadhan Chombo, John Bocco. Yanga: Ali Mustafa, Nadir Haroub, Kevin Yondani, Haruna Niyonzima, Shamte Ali, Rashid Gumbo, Athumani Iddi, Oscar Joshua, Godfrey Taita, David Luhende, Sai...

VAN PERSIE NA MUSTAKABALI WAKE

Meneja wa Arsenal, Arsen Wenger amesema leo kwamba hajapata ofa toka kwa timu yoyote ya kutaka kumnunua Van Persie ambaye anawaniwa na Manchster City, Manchester United na Juventus. Mustakabali wa mchezaji huyo umekuwa ukizungumziwa sana hasa baada ya yeye mwenyewe kusema kuwa hayuko tayari kutia saini kuichezea timu hiyo ya washika bunduki wa London mara mkataba wake utakapoisha. Akizungumza huko Uchina, Wenger alisema, "kwa wakati huu suala la Van Persie halijatusumbua sana. Hatujapata ofa yoyote, kwa hiyo yeye ni mchezaji wetu. Kwa hiyo sidhani kama tunahitaji kuzungumzia jambo hili tena."   Robin Van Persie ambaye mstakabali wake umejaa utata mpaka sasa Inasemekana kuwa Arsenal wanahitaji kiasi cha pauni milioni 20 kwa ajili ya kumuuza msukuma kandanda huyo. Sakata la Van Persie limekuja baada ya Wenger kuwapoteza wachezaji wake muhimu sana msimu uliopita ambao ni Samir Nasri aliyeenda Man City na Sesc Fabregas aliyeenda kuupiga mpira Barcelona. Meneja wa M...