Skip to main content

Posts

London Derby: EPL: SARRIBALL YADODA WEMBLEY

#LondonDerby: #Epl: #Sarriball style yadoda Wembley! Tottenham 3-1 Chelsea: Magoli ya Dele Alli,  Harry Kane na Son yaharibu mpango wa Chelsea wa kutofungwa! Kutofungwa kwa Chelsea katika epl kumeingia doa baya lisilotakata hata kwa sabuni gani baada ya mchezo mzuri wa kuvutia wa Tottenham katika dimba la Wembley uliohakikisha mashabiki wa Chelsea wanalizwa machozi ya damu kwa kuwekwa magoli mara 3.  Dele Alli akifungua ukurasa wa magoli kwa wenyeji baada ya dakika 7 tu za mchezo huku kichwa chake kikipeleka mpira kwenye post ya mbali sana,  aka anakotagia kanga.  Harry Kane akaongeza la pili akiichungulia kona ya chini baada ya mabeki wa Chelsea kumwachia apige shuti la mbali. Son akafanya magoli kuwa 3 kwa Spurs mapema kunako kipindi cha pili baada ya mkorea huyo kufanya kitu kinaitwa kwa kizungu sensational solo goal.  Olivier Giroud akaingia kutokea bench na kufunga goli la kufutia machozi kwa wageni Chelsea.

Huyu Hapa Ndiye Mchezaji Bora wa Mwaka Sweden

Victor Lindelof

Santiago Solari Kuwa Kocha Mkuu wa Real Madrid

Klabu ya Real Madrid inatarajia kumtangaza Santiago Solari kuwa kocha wa klabu hiyo mpaka mwisho wa msimu huu baada ya kuiongoza Madrid kwenye michezo minne akiwa kama kocha msaidizi. Solari ameshinda michezo yote minne aliyoiongoza Real Madrid na kufanya raisi wa Real Madrid Florentino Perez kumwamini na kumpa kazi hiyo. Awali  Real Madrid walitaka kumpa nafasi hiyo kocha wa zamani wa Chelsea Antonio Conte lakini dili hilo lilivunjika hatua za mwisho baada ya kushindwa kuelewana huku Conte akidai sababu ni kwamba alitaka kuchukua timu mwezi June na sio katikati ya msimu. Source: #kwetusport

Liverpool Wachezea Kichapo huku Barcelona wakibanwa Mbavu na Inter katika UCL

Wakati Liverpool wakichezea kichapo cha 2-0,  Spurs wafufua matumaini ya kuendelea na UCL na Barcelona wakibanwa mbavu na Inter,  Dortmund nao walazwa ugenini na Monaco wakishangazwa mbele ya Club Brugge. Hatari tupu!

KIPA WA YANGA KLAUS KINDOKI AOMBA RADHI

KIPA wa Yanga Klaus Kindoki Aomba Radhi   Kipa wa Yanga Mkongoman Klaus Kimdoki, amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa timu hiyo kufuatia kufanya makosa ama uzembe uliosababisha Stand United kupata magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Baraa mwishoni mwa wiki iliyopita.   Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar, Yanga iliahimda mabao manne kwa matatu huku Stand United ikifunga mabao hayo yaliyotokana kwa sehemu kuwa na uzembe wa Kindoki.  Kindoki alijiunga na Yanga msimu huu akitokea  Racing de Kinshasa, alinena lawama toka kwa mashabiki wa Yanga kutokana  na kuonesha kiwango dhaifu kwenye mpambano huo.  Akizungumza na gazeti moja wapo jijini Dar, Kindoki alikiri kufanya makosa ambayo yaliwagharimu lakini akasema  amejifunza kutokana na makosa hayo na kamwe hayatajirudia tena kwenye mechi zijazo.  "Ni kweli nimekosea na ninajutia lakini napaswa kusamehewa na kupewa nafasi kwa sababu nimejua kosa langu na ninaamini hali...

MOURINHO: 'FELLAINI GIVES US QUALITY'

Mourinho: 'Fellaini gives us quality'   José Mourinho has hailed the impact of Marouane Fellaini following Manchester United's 2-1 win over Watford on Saturday night.  Fellaini made his return to the side following injury, and was instrumental in both goals, as well as playing a key role in front of the defence.  'We made defensive mistakes against Brighton and Tottenham. Against Brighton, we didn't deserve to win.' Mourinho said after the match.  'Then we go to two difficult matches, difficult stadiums. Burnley and Watford, and I thought my central defenders needed somebody to support them and give them the first wall of physicality.  'But Marouane gives us more than that. He gives us quality and simplicity. He is playing simple and well. I am really happy for Marouane.  'I am very happy. With the points, with the spirit. I feel a bit frustrated because we had everything in the first half to kill the game.'

MOURINHO: 'THE ONLY BAD THING ABOUT SMALLING IS HIS HAIR'

Mourinho: 'The only bad thing about Smalling is his hair'  Chris Smalling is in no danger of getting the chop after his Watford performance, but José Mourinho is certainly not a fan of his hair.  Manchester United manager  José Mourinho has been impressed with Chris Smalling's recent form, though he is not keen on the centre-back's new haircut.   Smalling scored what proved to be the winning goal in Saturday's 2-1 triumph at Watford, ending hosts' 100 per cent start to the season, even if late pressure meant it was a close shave for United.   Aside from the goal, the defender's display was impressive, as he dealt with Troy Deeney particularly effectively at Vicarage Road, proving to be a cut above the opposition.  But after sporting a new 'do' which appeared to be a combination of cornrows and Bantu knobs, Smalling should not be expecting any style tips from Mourinho.  "He was good. The only thing I don't like from Chris  at the moment is hi...