José Mourinho alamba dume dili la Punditry kwenye kombe la dunia Russia Kocha wa Manchester United amepata dili kwa mara nyingine kama pundit wakati wa mashindano ya fainali za kombe la dunia yatakayofanyika nchini Russia kuanzia Juni 14 mwaka huu. José amepewa dili hiyo na kituo cha utangazaji cha Russia Today maarufu kama RT. Mou ataingiza kiasi cha pauni laki nne kwa siku kwa kazi hiyo ya uchambuzi atakayoifanya kwa kipindi hicho. Mzee huyu atanyakua mshiko mkubwa sana kwa kipindi chote hicho.
Brings You Global News!