Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2016

Mourihno na Guardiola kukutana Septemba 10!!!

Jose Mourinho and Pep Guardiola will not have to wait long to renew their rivalry with the first Manchester derby of next season to take place at Old Trafford on September 10. Mourinho, who replaced Louis van Gaal at United this summer, clashed regularly with Manuel Pellegrini's successor Guardiola while in Spain and they will go head-to-head immediately after the first international break of the season, with the return game at the Etihad on February 25, 2017.

Ibra helps Man Utd to Community Shield win

Zlatan Ibrahimovic's winner has ensured that Jose Mourinho's reign at Manchester United got off to a winning start as the FA Cup holders beat champions Leicester City 2-1 in England's Community Shield season curtain-raiser at Wembley. Ibrahimovic leapt above Leicester captain Wes Morgan in the 83rd minute on Sunday to head Antonio Valencia's cross beyond Kasper Schmeichel, marking his official debut with a decisive contribution. Jamie Vardy had earlier equalised after capitalising on a hideous lapse from Marouane Fellaini following Jesse Lingard's superb solo opener in the 31st minute. United, who confirmed in an official statement before the match that Juventus have given midfielder Paul Pogba permission to have a medical with the club, started brightly, with Wayne Rooney and Ibrahimovic forming a lively forward pairing. Another new signing, Eric Bailly, made an encouraging start, although he was regularly tested by Vardy, who displayed the same tenacity and direct...

Mourinho finally relieved to land Pogba

Paul Pogba is close to joining  Manchester United  for a world-record transfer fee, with manager Jose Mourinho saying the France midfielder will be at the right club "to be the best player in the world". Pogba has been given permission by Juventus to have a medical examination to complete his return to Old Trafford, United said. The English club made the announcement in a one-line statement under the hashtag "Pogback." Pogba left United to join Juventus in 2012, reportedly for $A1.38 million in compensation. He is set to return for a fee of around $A153 million, which would eclipse the $A147 million that Real Madrid spent to sign Gareth Bale from Tottenham in 2013. "I don't think Real were upset when they broke the record with Gareth Bale or Cristiano (Ronaldo). I don't think it's a reason to be sad - it's a reason to be proud," Mourinho said. "Football is crazy and the market has become crazy. What you think this season is crazy, you ...

Arsenal 3-2 Manchester City... Picha za matukio mbalimbali ya mechi ndani.....

Alexis Sanchez aliwaongoza wenzake wa Arsenal katika ushindi murua dhidi ya Man City huku ngome ya Wenger ikiingia katika mgogoro wa majeruhi. Timu zote mbili zikiwa zimekamilisha ratiba zao za mechi za kirafiki za pre-season.

RIPOTI YA FA COMMUNITY SHIELD.... MANCHESTER UNITED V LEICESTER CITY HII HAPA

Kuwasili Ndani ya Dimba Makocha Baada ya mechi 1. Jesse Lingard alipachika goli la kwanza dakika ya 32 kwa upande wa Manchester United. 2. Jamie Vardy alisawazisha baada ya Marouane Fellaini kupiga pasi mbovu ya nyuma na kunaswa na mfungaji.   3. Baadaye Zlatan Ibrahimovic aliwarudisha Red Devils mbele baada ya kufunga kwa kichwa baada ya kuifumania krosi iliyochingwa na Antonio Valencia.   4. Manchester United walikuwa hivi: De Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw (Rojo), Carrick (Herrera), Fellaini, Lingard (Mata) (Mkhitaryan), Ibrahimovic, Rooney (Schneiderlin), Martial (Rashford) 5. Leicester City walikuwa hivi: Schmeichel, Simpson (Hernandez), Huth, Morgan (Ulloa), Fuchs (Schlupp), Mahrez, Drinkwater, King (Mendy), Albrighton (Gray), Okazaki (Musa), Vardy  Hapa chini ni picha za matukio mbalimbali ya mechi hiyo ya jana ya FA Community Shield kati ya Manchester United na Leicester City...

Manchester United v Leicester City: Everything you need to know about Community Shield

The last – and only – occasion when Leicester City won the Community Shield was in 1971, 45 years ago. Double winners Arsenal were unable to attend due to a lazily planned pre-season schedule meaning FA Cup runners-up Liverpool would face Second Division champions Leicester instead. Played at Filbert Street, the Foxes’ former home, in front of a crowd of just 25,104, Steve Witworth’s 25th minute strike for the hosts was enough to defeat Bill Shankly’s men. Having never won the FA Cup, the Shield has held pride of place in the Leicester trophy cabinet alongside their three League Cups and seven second-tier titles. Their remarkable march to the Premier League title under Claudio Ranieri last season has since painted the East Midlands club’s entire history in a different hue. No longer nearly men, Leicester’s very appearance at Wembley this afternoon, to face Manchester United, is a reminder of their electric, unfathomable rise to the top. That Shield victory in ’71 is one o...

''Mke wangu huwa na wivu dhidi ya mashabiki wangu wa kike.'' Afunguka Diamond Plutnumz

Mwanamuziki nguli wa Bongo fleva Tanzania, amekiri kwamba mke wake, ambaye ni mkubwa kumzidi yeye, hupata wivu dhidi ya mashabiki wake wa kike.   Alilisema hili wakati wa He TV interview, “ninaposhoot video, huwa pale wakati wote, lakini pia huweza kunnipigia hata zaidi ya mara 50. Mara nimwonyeshapo video, na aangaliapo baadhi ya scenes ambazo nipo na wanawake, huniuliza kwanini nilifanya hivyo. Lakini huwa namwelewesha kwamba mimi ni mwanamuziki, na hiyo ni sehemu ya kazi yangu.''   Aliendelea, ''Kuna wakati nilikuwa ulaya kwa ajili ya ziara, na nika tweet, 'where my ladies at....' hilo lilimchukiza na akaniuliza kwa nini niliwaulizia wanawake, kwamba nawataka waje wakutane nami. Nikamwambia hiyo haimaanishi chochote, na ni sehemu tu ya lugha ya usanii.  

RPC Singida: Tunawasiliana na TCRA uwezakano wa kumfungia Tundu Lissu kwenye mitandao ya Kijamii

Akizungumza jana na vyombo vya Habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Thobias Sedoyeka, anasema bado wanaendelea kushirikiana na mamlaka mbalimbali ikiwemo TCRA ili kuweza kuthibitisha kuwa ule ujumbe uliokuwa unasambaa kwenye mitandao ya kijamii siku aliyokamatwa Mbunge huyo huko Ikungi-Jimbo la Singida Mashariki ni wa Mbunge Mh.Tundu Lissu. RPC anasema wataangalia uwezekano wa kuwasiliana na TCRA ili kufungia "account" za Tundu Lissu mitandaoni, magroup ya mitandao ya kijamii aliyomo Tundu Lissu, kwani anachosha kwa kuitumia mitandao hiyo kueneza chuki dhidi ya jeshi la polisi, Serikali na Rais. Hivyo, kama kuna uwezekano ni kumuondoa humo Tundu Lissu ili kuepusha uvunjifu wa amani unaosababishwa na maandishi yake ambayo yanahatarisha amani na utulivu wa nchi. RPC Sedoyeka anasema  "Tunaangalia uwezekano wa kushirikiana na TCRA,wamfungie kabisa katika magroup ya mitandao ya kijamii,anakotumia kuandika lugha ya uchochezi na ya kuudhi dhidi ya serikali na uongoz...

Picha chache za Matukio ya Ufunguzi wa Michezo ya Olympic huko Rio de Jeneiro

Mlinzi wa Madeama Daniel Amoah Afurahia Kujiunga na Azam FC

Mchezaji wa under 20 wa Ghana Daniel Amoah anasikia faraja kujiunga kwake na Azam FC akitokea Ghana Premier League team, Medeama SC. Mchezaji huyo anayekipiga nafasi ya ulinzi mwenye miaka 18 alikamilisha uhamisho wake kwenda Chamazi Stadium siku ya Ijumaa akisaini kandarasi ya miaka mitatu. 

Jose Mourihno Adokeza Kuwasili kwa Pogba

Jose Mourinho amedokeza kuwa uhamisho wa Paul Pogba kutoka Juventus kwenda Manchester United uko karibu kukamilika.   Akiongea kuelekea mpambano wa Community Shield dhidi ya Leicester City, manager wa United amethibitisha kuwa alikuwa akitarajia mchezaji mwingine zaidi kuwasili Old Trafford kabla ya Agosti 14.   Ingawaje alisema hapendeleai kuongelea habari za wachezaji wa timu nyingine, lakini alisema amepungukiwa na mchezaji mmoja kwani timu  yake ya kwanza yaani first squad anataka iwe na wachezaji 23 jumlisha makipa watatu.  "We have 22 and we are going to have 23," Mourinho told a news conference. "We are going to get a very good midfielder," he added. "Paul Pogba ni mchezaji wa Juventus hadi pale atakapokoma kuwa hivyo rasmi, hivyo tunabaki hivyo.'' Alisema Mourihno. Mourinho alisema pia kuwa anatarajia kuutumia mchezo wa Jumapili kutoa nafasi ya kutosha kwa wachezaji wake. s  "Tunaweza kufanya mabadiliko ya wachezaji mara sit...

Mourihno Asisitiza Itachukua Muda kwa Manchester United Kucheza Style yake!

J ose Mourinho amekubali kuwa itachukua muda kidogo kwa Manchester United kubadilisha style ya uchezaji toka ile ya Louis Van Gaal kwenda ile ya kwake.   Mourinho ametwaa kikosi hicho kama boss au manager mwezi Mei mwaka huu kama mrithi wa Van Gaal, ambao walicheza style ambayo ilikosolewa sana kuwa haikuvutia.   Alipoulizwa kuelekea pambano la Community Shield siku ya Jumapili dhidi ya Leicester City kuhusu mabadiliko ya kiuchezaji ya wachezaji wa United, Mourihno alikuwa makini na kusema kuwa filosofia yake ni tofauti na ile ya Gaal.   Je ni kweli kwamba itachukua muda kwa manchester united kubadilika style ya soka?

Hakuna Mabadiliko ya Bonanza la Simba SC

SIMBA SC wametupilia mbali madai kuwa wameahirisha Simba Day bonanza, litakalofanyika Jumatatu jijini Dar es Salaam, kufuatia kutiwa nguvuni kwa kiongozi wa club hiyo na Taasisi ya kupambana na kuzuia rusha ''Prevention and Combatting of Corruption Bureau (PCCB).'' Haji Manara, mkuu wa Habari Simba SC Mwana habari mkuu wa club, Haji Manara alisema jana Dar es Salaam kuwa annual bonanza, ambayo kwa mwaka huu itaenda pamoja na sherehe za club ya Simba kutimiza umri wa miaka 80 tanga kuanzishwa kwake litafanyika kama ilivyopangwa katika uwanja wa taifa Dar.   Simba ilianzishwa mwaka 1936 na sasa wamepanga kitu tofauti kwa sherehe hizo za kumbukumbu kwenye hiyo 'Simba Week' ambapo wanachama, wachezaji na viongozi watahusika katika michezo na mambo mbalimbali.   Walakini habari zilizuka kuwa tukio hilo limeahirishwa kufwatia kutiwa nguvuni kwa Rais wa timu ya Simba Evance Aveva na PCCB, mbali na Aveva, wajumbe wengine wanasemekana kuhojiwa na PCCB kuhusia...

Bruce Kangwa Ajiunga na Azam FC

Amesaini mkataba wa kukipiga Azam FC kwa miaka mitatu na kukabidhiwa jezi namba 26. Tukio hilo lilifanyika jana mbele ya meneja wake George Deda. Highlanders walithibitisha kuondoka na kujiunga na Azam kwa mchezaji huyo. ''Alitutumia meseji akitushukuru kwa kumwachilia aende.'' Alisema Bosso Chief Executive officer Ndumiso Gumede. ''Siku zote nitawakumbuka Bosso na ninawatakia mema msimu huu. Pia nawaomba mashabiki wote waisapoti timu hasa kipindi hiki ambapo mambo sio mazuri sana japo najua ni suala la muda mfupi tu. .'' Alisema Kangwa. Deda hakuweza kuweka wazi juu ya pesa ilitumika kumnyaka mwanasoka huyo lakini alisema pande zote mbili zimeridhishwa na jinsi mambo yalivyokwenda. ''Ni makubaliano yenye faida kwa pande zote zilizohusika. Bosso wana furaha, Az\m wana furaha na hata Bruce ana furaha. Nataka niwashukuru Highlanders kwa kumwachilia Bruce.''Alisema Deda. Kangwa anatarajia kuonekana dimbani kwa mara ya kwanza pal...

Community Shield + Ujio wa Paul Pogba

Jose Mourinho  anajiandaa na game ya Community Shield (official game) akiwa in charge au meneja wa   Manchester United  katika dimba la Wembley kesho Jumapili. Timu yake wanaojulikana sana kama Mashetani Wekundu watakutana na mabingwa wa soka Uingereza Leicester City katika mtanange huo unaotarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwenye wa ngao ya hisani. Na hii itakuwa nafasi ya mwisho kwa wachezaji wa Man United kumwonyesha Jose Mourinho kuwa wapo tayari na mapambano kabla ya ufunguzi wa ligi watakapopambana na Bournemouth weekend ijayo. Wakati huohuo Mourihno atakuwa anatarajia lile sekeseke la uhamisho kukamilika. Huku Mashetani hao Wekundu wakijiandaa kukamilisha usajili ama uhamisho wa Paul Pogba kutoka Juventus ambao utaweka rekodi ya dunia ya kugharimu paundi milioni mia moja.   Inaeleweka kuwa wamekubali dili ya kumrejesha msukuma kabumbu huyo mfaransa mwenye miaka 23 sasa na wakti Mourihno alipoulizwa kama mashabiki watarajie usajili mwingine nd...

EPL FIXTURES 2016-2017 Kuanzia Jumamosi Agosti 2016

Saturday, Aug. 13, 2016 AFC Bournemouth vs. Manchester United Arsenal vs. Liverpool Burnley vs. Swansea City Chelsea vs. West Ham United Crystal Palace vs. West Bromwich Albion Everton vs. Tottenham Hotspur Hull City vs. Leicester City Manchester City vs. Sunderland Middlesbrough vs. Stoke City Southampton vs. Watford Saturday, Aug. 20, 2016 Leicester City vs. Arsenal Liverpool vs. Burnley Manchester United vs. Southampton Stoke City vs. Manchester City Sunderland vs. Middlesbrough Swansea City vs. Hull City Tottenham Hotspur vs. Crystal Palace Watford vs. Chelsea West Bromwich Albion vs. Everton West Ham United vs. AFC Bournemouth Saturday, Aug. 27, 2016 Chelsea vs. Burnley Crystal Palace vs. AFC Bournemouth Everton vs. Stoke City Hull City vs. Manchester United Leicester City vs. Swansea City Manchester City vs. West Ham United Southampton vs. Sunderland Tottenham Hotspur vs. Liverpool Watford vs. Arsenal West Bromwich Albion vs. Middlesbrough...