Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2013

PICHA HIZI ZINADHIHIRISHA KUWA WANA AFRIKA YA KUSINI WAMEPOTEZA MATUMAINI JUU YA MZEE MANDELA

Hali Ya Nelson Mandela Yaleta Utata Mtupu

Inaonekana watu wameanza kuonea huruma mpiganaji wao Nelson Mandela maarufu kama Madiba baada ya kuendelea kuugua mapafu kwa muda mrefu. Baadhi ya wananchi katika mitaa mbalimbali ya Afrika ya Kusini wameanza kusikika wakitamka maneno ya kuonesha kwamba wanamuaga Raisi Huyo wa kwanza mweusi na mpiganaji dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini humo. "Mandela ni mzee sana na kwa umri wake, maisha siyo mazuri. Namuomba Mungu amchukue sasa. Ni bora aende. Ni bora akapumzike" Alisikika Ida Mashego, mfanya usafi wa ofisini mwenye umri wa miaka kama 60 hivi huko Johannesburg.   Mtu huyu ambaye ni Artist akichora picha ya  mzee Mandela nje tu ya hospitali  mjini Pretoria alimolazwa Raisi huyo wa  Kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini   "Sitadanganya, hali siyo nzuri. Lakini kama nisemavyo, tukiongea naye, anajibu na kujaribu kufungua macho. Bado yupo. Anaweza akawa anaaga lakini bado yupo." Alisema binti yake mkubwa  mzee Mandela, Makaziwe, baada ya kumtembelea

Haya Ndiyo Aliyoyasema Shinji Kagawa!

"I am not happy with my performance for the team at all. I didn't score that much and I also had my (knee) injury. Despite that, it was great we won the league, but I just don't feel that I achieved everything that I wanted."  Shinji Kagawa "Sifurahii kiwango changu kwenye timu yangu kabisa. Sikufunga magoli mengi na pia niliumizwa goti langu. Walakini ilikkuwa ni vizuri tulishinda ligi, lakini sijisikii kwamba nilifanikisha kila kitu nilichohitaji." Alisema Kagawa.  Source: b/r

CHADEMA Wafunguka Tena. Safari hii ni Kuhusu Ugaidi....

Source: chadematv CHADEMA yabaini mbinu ya kuwabambikia kesi ya Kigaidi Dk Slaa, Mbowe Mnyika na Lissu   TUTAPIGANA VITA YA  KISHERIA , TUKIONGOZWA NA JOPO LA MAWAKILI Wamesema kama walivyoweza kuishinda serikali, CCM, na jeshi la polisi walipotaka kumbambikizia kesi ya ugaidi Rwakatale sasa serikali wanafikiri wanaweza kupenya mlango wa nyuma kwa kutumia tukio la tindikali kupandikiza taswira ya ugaidi dhidi ya Chadema. Kwa hiyo uzito ule ule walioutoa kwenye kesi ya Rwakatale ndiyo watakaoutoa kwenye kesi hii.   Wamesema kwamba katika hatua ya kwanza jopo la mawakili watatu walitrajiwa kusafiri kwenda Igunga na Tabora kwa ajili ya kesi, Jopo ambalo litaongozwa na Profesa Abdallah Safari, wakili Peter Kibatala na wakili kutoka Mwanza Gaspar Mwadyela. For more updates, visit cadematv on youtube.

Nelson Mandela in Critical Condition. As Written by The Telegraph

Nelson Mandela 'critical' in South Africa hospital Nelson Mandela’s condition described as critical for the first time, two weeks after he was admitted to hospital with a lung infection. President Jacob Zuma visited Mr  Mandela’s  doctors and wife Graca Machel, and said that the former president’s health had deteriorated over the past 24 hours. He said his doctors were still “doing everything possible” to try to improve his situation. The announcement late on Sunday night was the first time the 94-year-old former president’s condition has been described so seriously since he was admitted to hospital on June 8 for a recurring lung infection. His condition had previously been described as “serious but stable”. Comments last week from Mandela family members and his presidential successor, Thabo Mbeki, had suggested Mr Mandela’s health was improving. However, the announcement of the downturn sparked deep concern among South Africans that the end could be

Yalojiri Kwenye Mechi Kali ya Japan Dhidi ya Italy

Italy 4-3 Japan: Giovinco settles all-time  classic Confederations Cup encounter An incredible clash at the Itaipava Arena Pernambuco saw Italy book their place in the Confederations Cup semi-finals with a 4-3 defeat of Japan, who were eliminated from the tournament in heartbreaking fashion. Needing a draw to stand a chance of making the last four, Alberto Zaccheroni's men got off to an incredible start, racing into a two-goal lead through Keisuke Honda's penalty and Shinji Kagawa's neat finish. But a spectacular 11-minute turnaround either side of half-time saw Italy score thrice to retake the lead, through Daniele De Rossi's header, Atsuto Uchida's own goal and Mario Balotelli's spot kick. Shinji Okazaki then drew Japan level with 21 minutes remaining, but despite a late rally by the Samurai Blue, they were finished for good with four minutes remaining by Sebastian Giovinco's strike, as Italy join Brazil as Group A's representatives in the

Freeman Mbowe na Mwenzake Godbless Lema bado Wanasakwa na Jeshi la Polisi Jijini Arusha

Jeshi la polisi nchini limesema bado linawasaka mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo "CHADEMA" Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kufuatia vurugu zilizotokea juzi na madai yao kuwa wanao ushahidi wa kutosha kuhusu polisi kuhusika na kurusha bomu katika mkutano wa Chadema. Mkuu wa Operesheni ya jeshi na Mafunzo Kamishina Paul Chagonja alisema jeshi la polisi bado linawata Lema na Mbowe wajitokeze hadharani na kutoa ushahidi kwamba polisi walihusika katika kurusha bomu katika mkutano wa Chadema na kusababisha vifo vya watu watatu na jana aliongezeka mwengine na kufikia wanne. Kamishina Chagonja alisema pia kwa sasa jiji la Arusha ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao bila wasi wasi na kuongeza kuwa endapo Lema na Mbowe hawaliamini jeshi la polisi katika kuwasilisha ushahidi wao, kuna mamlaka nyingi, kuna walinzi wa amani kila mahali, waende hata kwa shehe au hata kwa padre, na kufikia hatua hadi ya kusema kama wana wasi wasi basi waende

CHADEMA Walonga na Kusema: "Tutawapa Polisi Mkanda japokuwa wana nia mbaya ."

                                                 Bwana Mnyika Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA Mh. John Mnyika amesema watatoa Mkanda wa ulipuaji wa bomu la Arusha kwa Polisi baada ya kupata ushauri wa kisheria hasa baada ya Polisi kuonyesha nia mbaya.     Source: chadematv

Via IPPMEDIA: Wassira challenges Mbowe to name Saturday's rally bombers

BY ALOYCE MPANDANA                            steven wasira Minister of State in the President’s Office for Social Relations and Coordination, Steven Wassira has asked the Chairman of Chadema, Freeman Mbowe to disclose the name of the person behind the Saturday bombing at the party’s campaign rally at Soweto grounds in Arusha. Wassira made the call following accusatory statements made by Mbowe on Monday who indirectly labelled the government and the ruling party CCM of being behind the bomb blast. So far three people have died and scores injured by the bombing. Speaking in the morning TV programme “Jambo” aired by the national television (TBC), Wassira said no one is permitted to kill another, hence Mbowe must disclose the name of the person who organised the attack on behalf of the government since he was quoted saying that he knew the persons behind the blast. Recently Mbowe told reporters in Arusha that he and other Chadema leaders who were in the campaign were targeted in t

Kama Ulikosa Matukio ya Mabomu Arusha, Tazama Picha Hizi... Halafu Tafakari...!

Police Insp. Gen. Said Mwema akiongea na waandishi wa habari jana juu  ya mlipuko wa mabomu Jijini Arusha

CHADEMA Wafunguka. Unajua Wanasemaje? Fungua Usome Hapa

CHADEMA: Mlipuaji wa Bomu la Arusha ni Polisi, Hatukubali mauaji ya aina hii tena Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 18/06/2013 Makao Makuu ya CHADEMA amesema CHADEMA inao ushahidi wa video kuwa aliyelipua bomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha ni Polisi na Polisi wenzake wakamsaidia kutoroka Source: chadematv

United's David Moyes handed £60m transfer kitty by Glazers to spend on new players

Manchester United’s owners, the Glazer family, are prepared to hand David Moyes a £60 million transfer kitty this summer in order to allow Sir Alex Ferguson’s successor to stamp his personality on the Old Trafford squad. Moyes is due to return from a family holiday a week on Monday and it is understood that the Scot will then embark on securing his leading transfer targets ahead of the club’s three-week tour of the Far East and Australia, which begins with a friendly against a Singha All-Star XI in Bangkok on July 13. Moyes is expected to recruit at least three new signings.  Everton  defender Leighton Baines, Barcelona midfielders Cesc Fàbregas and Thiago Alcantara and Borussia Dortmund forward Robert Lewandowski have all been identified by the club as targets, although interest in Everton midfielder Marouane Fellaini has cooled because of his £23 million buy-out clause. United will also be among the interested parties in Gareth Bale should Tottenham be willing to sell the

MANDELA'S WIFE THANKS WORLD FOR 'LOVE, GENEROSITY'

Via AP JOHANNESBURG  — The wife of former South African President Nelson Mandela says that love and generosity from across the world have brought comfort and hope during Mandela's latest hospitalization. A wellwisher carrying get-well placard arrives at the Mediclinic Heart Hospital where former South African President Nelson Mandela is being treated in Pretoria, South Africa Sunday, June 16, 2013.  Mandela spent his 10th day in the hospital Monday for a recurring lung infection. President Jacob Zuma said Sunday that Mandela remains in serious condition but that his doctors are seeing sustained improvements. Zuma said Mandela is engaging with family during visits. Graca Machel, Mandela's wife, in a written message Monday expressed the family's gratitude for messages of support, in particular from children singing outside the Mandela home. The leader of South Africa's anti-apartheid movement, Mandela spent 27 years in prison during white racist rule. He wa

JAY-Z ANNOUNCES NEW ALBUM WITH SAMSUNG DEAL

Via AP NEW YORK  - Jay-Z is teaming up with Samsung to release his new album, unveiling a three-minute commercial during the NBA Finals on Sunday and announcing a deal that will give the music to 1 million users of Galaxy mobile phones. The new album, called "Magna Carta Holy Grail," will be free for the first 1 million android phone owners who download an app for the album. Those who do so will get the album on July 4, three days before its official release, according to a Sunday statement. Samsung is a leader in the mobile phone market and has been steadily chipping away at Apple's share of the market with its Galaxy phones. The deal with Jay-Z is yet another example of how mobile companies are using music to lure new consumers. Source: AP

Alimanusura Stars Wamuue Tembo!!! Ivory Coast Watinga Kumi Bora kwa 4-2

                                     Kikosi cha Stars Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars jana waliondoa matumaini ya kutinga Brazil kwa ajili ya fainali za kombe l dunia baada ya kukung'utwa magoli 4-2 katika mchezo mkali na wakuvutia uliochezwa jana kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam.                     Mbwana Samata kulia, akiambaa na mpira Stars waliokuwa wakishangiliwa kwa nguvu sana na umati wa mashabiki waliofurika uwanjani walipata bao katika dakika ya kwanza tu ya mchezo huo kupitia kwa mchezaji wao mahiri Amri Kiemba na kuwafanya Ivory Coast kuhaha sana na kufanikiwa kusawazisha goli hilo mnamo dakika ya 15 ya kipidi cha kwanza, na baadaye kuongeza bao la pili.                           Ivory Coast wakishangilia goli Katika dakika ya 38 Thomas Ulimwengu aliisawazishia Stars kwa kufunga bao la pili baada ya kupokea krosi mahiri toka kwa Shomari Kapombe. Na baadaye kabla ya kuisha kipindi cha kwanza Ivory Coast wakaandika bao la tatu kwa njia ya Penalt

Charles James Kahela, Aliyenusurika Kuuawa kwa Bomu Arusha Amefunguka!

MLIPUKO WA BOMU ARUSHA Charles James Kahela Bwana Charles James Kahela, mkazi wa Arusha hadi sasa anaona kama ni muujiza kwake kubaki hai,  kwani haamini na wala haelewi kwa nini yeye apone wengine wafe. Akitoa ushuhuda wake kanisani, Bwana Charles alisema, "Baada ya kutoka kazini niliamua kupitia kwenye mkutano wa Chadema ambao ndio ulikuwa unafikia mwisho na kwa sababu mahali pale palikuwa karibu sana na kwa bosi wangu, nikaamua ngoja nami nisipitwe niende kusikiliza chochote kutoka kwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Bwana Freeman Mbowe." Alifuta machozi, kisha akaendelea.  "Wakati mkutano umefika mwisho na watu wakiondoa baadhi ya vitu uwanjani huku viongozi nao wakiowa wametoka jukwaani, nilisikia kitu kimerushwa nyuma yangu karibu kabisa na kichwa changu na kwenda kutua mbela ambako kulikuwa bado na watu wengi tu na watoto kadhaa. Nikasikia mlipuko mkubwa sana, baada ya muda nikaona watu wamelala chini na damu nyingi sana zikimwagika. Kweli ilikuwa

Huyu Hapa ni Wilfried Zaha wa MUFC

  Zaha, wa tatu toka kushoto   Zaha Zaha Zaha, kulia

RVP KEPTENI WA UHOLANZI

Manchester United striker Robin Van Persie has been named Holland captain and he has spoken out about his much-criticised silence during Euro 2012.

Unamfahamu Manuel Pellegrini, Bosi Mpya wa MCFC? Hebu Mcheki Hapa

Manchester City sacked manager Roberto Mancini with two games remaining on the Premier League schedule, but the team had a plan ready to replace him. Per a long-expected announcement, former Malaga boss Manuel Pellegrini will take over as manager, according to the team's official website.  The report indicates Pellegrini will begin his tenure on June 24. Said the manager

Real Madrid's Offer to Ronaldo

Real Madrid’s contract renewal package designed for Cristiano Ronaldo will reportedly cost a total of €166m .

Kama Unataka Kujua Alichosema Cristiano Ronaldo Juu ya Kusaini Madrid, Fungua na Usome Tweet Yake.

Cristiano Ronaldo @Cristiano All the news about my renewal with Real Madrid are false. 4:53 PM Jun 13th

Cesc Fabregas Kadai Maisha ya La Liga ni Matamu, Haondoki Ng'oo!

Amesema, "Siku zote nimesema nina furaha nikiwa Barca. Yeyote anayesema mimi naondoka hanijui vizuri na hajawahi kuongea na mimi.  “Hawajaongea hata na agenti wangu, bec Hause anafahamu kuwa sitaki yeye aongee na watu kuhusu mimi."   “Huwa siongei mambo yangu hata na familia yangu. Kama mtu anaongea kuwa sitaki kucheza Barca, ana shida huyo."    

Najua Unamfahamu Busta Rhymes wa Mamtoni. Sasa Soma Hapa Alichokifanya!

Cheeseburger Restaurant Calls Cops on Busta Rhymes After Disturbance Busta Rhymes allegedly wasn't too happy about waiting on line during a recent pit stop. The Hip Hop star, real name Trevor Smith, reportedly stormed a Cheeseburger Baby recently with his posse and wanted to get serve right away. "He got very upset when we wouldn't take his order first when he was the last one to come in," owner Stephanie Vitori told the Miami New Times. "We treat everyone as equals here at Cbb. You can't skip the line of 10 people waiting in front of you." Someone from his camp is said to have waited in line to take the order, but it wasn't over there. After receiving his meal, Busta allegedly returned to the store to complain about the food. Vitori adds: "He came back in the restaurant and started becoming outwardly angry. He was calling our delivery driver Santiago a f** multiple times, and me a b**ch and (telling) me to 'shut the f**k

Umeiona Kmart Clothing Collection Ya Nicki Minaj? Go Here!

Source: Singersroom/Rappersoom

Mourinho Alipoulizwa Kama Anamuhitaji Wayne Rooney, Alisema Hivi:-

"I like him," Mourinho said. "He is at a fantastic age. He has maturity, big experience and is still young. It's up to him and what he wants, what makes him happy."                                     Wayne Rooney "He's a little bit like me," Mourinho added. "He doesn't need one more pound in his contract and one more cup won't make a difference. Be happy. "Where is he happy? Where will he find more happiness to have ambition and drive him?" Source: b/r

Ushahidi wa Lionel Messi Kukwepa Kulipa Kodi Huu Hapa.

Barcelona's  El Periodico  newspaper says the attorney involved has told it that Messi and his father Jorge deliberately hid commercial revenues from the Spanish authorities from 2006 through to 2009 by channelling the income through front companies in tax havens. The paper reports the amount owed as €13 million, though other media has the figure being sought by the authorities as €4 million. The paper quotes its source as saying the alleged tax dodge "consisted of simulating the assignment of image rights to front companies based in tax havens [Belize, Uruguay] and, at the same time, formalising contracts of licensing, agency or benefit from services between these companies, and other such instruments domiciled in convenient jurisdictions [the UK, Switzerland]. This was done with the intended and successful aim that the incomes would move from countries where the companies or entities were based, to companies domiciled in tax havens, without being sub

Huu Hapa ni Ushahidi Kwamba Lewandowski Katia Dole Gumba Manchester United.

  Source: HITC Sport

Manchester United Wammulika Thiago Alcantara

Manchester United wanasemekana kumuania Thiago Alcantara ambaye yupo kwenye kikosi cha Hispania cha under 21.  Inasemekana pia kwamba ndani ya Barcelona Thiago ni mkali zaidi ya Xavi na Iniesta kwa umri aliokuwa nao na kiwango alichonacho ukilinganisha na hao wawili na kiwango chao walipokuwa na umri wa miaka 21. Katia misimu miwili amecheza mechi 81kitu kinachoonesha kuwa mkali zaidi ya hao wenzake, kwani Xavi alicheza mechi 58 ndani ya misimu yake miwili ya kwanza na Iniesta alicheza mechi 29 tu katika misimu yake miwili ya kwanza. Hali hiyo itawafanya Manchester United kujidhatiti kwelikweli kama wanamuhitaji msukuma kandanda huyu. 

Jay-Z Ampa Skylar Diggins Benz Kama Zawadi ya Graduation

Baada ya Skylar kupata degree katika chuo cha  Notre Dame’s Mendoza  College of Business , alipewa zawadi ya gari mpya aina ya Mercedes Benz  na  handwritten note toka kwa Jay.   Na huyu kwenye picha ya juu na chini ndiye  Skylar Diggins, ambaye  pamoja na kisomo chake pia anacheza basketball. Hii hapa chini ndiyo Benz yenyewe.   Na baada ya kupokea zawadi hiyo akaishea online na kuandika maneno haya " Got surprised with a new mercedes! Thanks so much to Jay and @rocnation, and @dancyautogroup!"  Source: NicoleBitchie & Singersroom