Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2014

Top 5 ya EPL sasa iko hivi.

Baada ya Arsenal kung'ang'aniwa na Leicester City kwa droo ya 1-1 sasa wametimuliwa rasmi katika top five na sasa inasomeka kama ifuatavyo:- Timu.                   Pointi 1. Chelsea.            9 2. Swansea.         9 3. Aston Villa.       7 4. Man City.           6 5. Liverpool.          6

Manchester United Bado Kushinda Game! Barnley 0-0 United

Kwa mara nyingine tena Mashetani wekundu toka jiji la Manchester wameshindwa kutamba leo katika mechi yao wakiwa ugenini dhidi ya Barnley baada ya kulazimisha gari sare tasa yaani bila bila. Kila mtu alidhani United wangepata ushindi wao wa kwanza katika ligi. Lakini pamoja na kujaribu sana kuutawala mchezo bado safu ya ushambuliaji ilibaki kuwa butu. Safu hiyo ikiongozwa na Van Persie, Rooney, Mata na Di Maria ilishindwa kabisa kabisa kufikisha mpira kwenye nyavu ya wapinzani wao. Di Maria alijaribu sana kuonesh makeke hasa ale alipotoa Pande safi sana kwa Van Persie ambaye aliachia shuti safi lakini lilikataliwa na kipa wa Barnley. Valencia ndiye mchezaji aliyepata mipara Mingi sana lakini alikosa ubunifu wa kupiga krosi au kuto assist ambazo zingezaa matuda. Young naye vilevile hapo alijaribu kupenya Mara kadhaa lakini pia ubunifu haukuwa kichwani mwake. Rooney na Van Persie walionekana wazito sana kwenye kufanya maamuzi na kuwa wachezaji wa kawaida na wenye kukabika kiurahisi

Manchester United Bado Kushinda Game! Barnley 0-0 United

Kwa mara nyingine tena Mashetani wekundu toka jiji la Manchester wameshindwa kutamba leo katika mechi yao wakiwa ugenini dhidi ya Barnley baada ya kulazimisha gari sare tasa yaani bila bila. Kila mtu alidhani United wangepata ushindi wao wa kwanza katika ligi. Lakini pamoja na kujaribu sana kuutawala mchezo bado safu ya ushambuliaji ilibaki kuwa butu. Safu hiyo ikiongozwa na Van Persie, Rooney, Mata na Di Maria ilishindwa kabisa kabisa kufikisha mpira kwenye nyavu ya wapinzani wao. Di Maria alijaribu sana kuonesh makeke hasa ale alipotoa Pande safi sana kwa Van Persie ambaye aliachia shuti safi lakini lilikataliwa na kipa wa Barnley. Valencia ndiye mchezaji aliyepata mipara Mingi sana lakini alikosa ubunifu wa kupiga krosi au kuto assist ambazo zingezaa matuda. Young naye vilevile hapo alijaribu kupenya Mara kadhaa lakini pia ubunifu haukuwa kichwani mwake. Rooney na Van Persie walionekana wazito sana kwenye kufanya maamuzi na kuwa wachezaji wa kawaida na wenye kukabika kiurahisi

Barnley v Man United Leo Saa 8:45 Mchana

Leo ni mchezo mwingine tena ambao unamfanya bosi wa Old Trafford Louis Van Gaal kutazamwa na mashabiki wengi wa soka hapa bongo na pande zingine za dunia. Baada ya United kupoteza mechi ya kwanza ya ufunfuzi dhidi ya Swansea kwa kichapo cha 1-2 huku tatizo Kubwa likiwa upande wa ulinzi. Pia katika mechi ya pili walilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Sunderland. Leo wakiwa wanategemea kuwaanzisha wachezaji wawili waliosajiliwa hivi Karibuni Marcos Rojo pamoja mvunja rekodi ya usajili ulaya Angel Di Maria, United watafanya kila liwezekanalo ili kushinda mechi ya Leo ili kuwarisha mabosi wao Van Gaal na Giggs pamoja na uongozi mzima wa United bila kusahau kwamba itakuwa ni faraja kubwa sana kwa mashabiki wao kwani wamekuwa ni watu wa kutaniwa tu kila kukicha. Di Maria anatarajiwa kuongoza safu ya kiungo huku akipeleka Pasi nyingi kwa mastraika Wayne Rooney na Van Persie na wakati mwingine akifanya mambo yake mwenyewe. Marcos Rojo anatarajiwa kuongoza safi ya ulinzi akisaidiana na akina Jo

Yaliyojiri Man City v Liverpool. City 3-1 Liverpool. Majogoo Bila Suarez Wanaweza au Hawawezi?

Marcos Rojo First Interview as Red Devil's Star

Rojo : I will give everything for United Marcos Rojo gave his exclusive first interview to MUTV , saying he has joined the world's biggest club and promises to "play each game as if it's my last"... Welcome to Manchester United. How does it feel to be here and to be signing for this club? Thanks very much. I'm very happy as this is a big step forward in my career and it's amazing to be joining the biggest club in the world. What do you know about the club, the history, the players? I know a lot about the club because I always follow the Premier League and Manchester United were always my team because they were the biggest and the best. Juan Sebastian Veron played for United and was a great player and I always watched his progress. United were always my club. There has been a lot of talk and speculation about the move. How have the last few days been for you? It's taken a while for everything to get sorted out because these transfers

Mario Balotelli to Liverpool. Check Out Here

Confirmed: # LFC have today completed the signing of Italy international Mario Balotelli from AC Milan # MarioLFC 9:00 AM - 25 Aug 2014    

EPL Top 5 Imebadilika. Angalia Hapa

Pos.                   P  GD.     Pts 1. Spurs.           2.  5.       6 2. Chelsea.       2.  4.       6 3. Man City.     2.  4.        6 4. Swansea.    2.  2.        6 5. Arsenal.       2.  1          4       

Liverpool v Manchester City @22hrs

Mechi kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City ni moja ya mechi zenye mvuto mkubwa kwa mashabiki wa soka katika ligi kuu ya Uingereza almaarufu kama 'Barclays Premier League ama EPL yaani English Premier League. Ukizitazama timi hizi mbili utaona kwamba zote mbili zina uwezo mkubwa wa kushinda mechi ya Leo itakayopigwa usiku majira ya SAA NNE kwa saa za Afrika Mashariki. Liverpool wana striking force yao imara sana ikiongozwa na Sturridge pamoja na Sterling na kwa sasa wakiwa wanakamilisha usajili wa mtukutu Mario Baloteli ambaye haijafahamika kama atakipiga leo ama vipi. Kwa upande wa Man City wanategemea sana mastraika kama akina Aguero, Silva na wengineo kuhakikisha wanalizamisha jahazi la Majogoo. Ukifwatilia maoni ya mashabiki wa soka wengi hutoa nafasi kwa majogoo kutwaa pointi tatu huku wachache sana wakiipa nafasi timu ya vijana toka Etihad Stadium. Wapi unatupa karata yako ya ushindi?

Gari la Moram Jumlisha Wamasai. Tazama hapa

Hii nimekutana nayo kwa Mrombo

Sunderland v United. Mtihani Mwingine kwa LVG!

Baada ya kuchezea kichapo cha magoli 2-1 wakiwa nyumbani kwako Old Trafford, Manchester United maarufu kama Red Devils jumapili hii watakuwa wageni wa Sunderland katika mechi nyingine ya Premier League kule Uingereza. Mechi hii pia itatazamwa na wengi kama mtihani mwingine kwa kocha Louis Van Gaal. Wengi wanampa kocha huyu imani lakini wakitilia shaka kikosi alichonacho. Wengi pia wanatumaini kuwa atafanya usajili nzuri kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili hapo Agosti 31. Van Gaal ameshasajili akina Herrera, Shaw pamoja na beki mwingine Marcos Rojo ili kuimarisha kikosi chake. Ikumbukwe pia Sunderland waliwachapa United katika mechi ya mwisho ya msimu uliopita na kuepuka kushuka daraja wakati United wakiwa chini ya kocha mchezaji Ryan Giggs baada ya David Moyes kufungashiwa virago pale ilipoonekana alishindwa kuvaa viatu vya SAF aliyestaafu. Je, United watashinda mechi ya kesho? Wasiposhinda unadhani watu ama wanahabari za soka watasemaje?