Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2023

Yanga Sc v Namungo Leo

Shughuli itakuwa pale kwa Mkapa leo ikizikutanisha Yanga sc na Namungo kwenye mtanange wa NBC Premier League.  Jana watani wa Yanga sc, Simba sc waliwalaza Singida Big Stars kwa 3-1 na mashabiki wao walifurahi sana. Leo ni zamu ya Wananchi kupata burudani huku wakitarajia kubaki kileleni kama ilivyo kawaida yao. Je Namungo watafungwa kirahisi? Wananchi mtafurahi leo?  Tupe maoni yako kwenye comments.