Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2013

Shuhudia Ktk Picha Tu Jinsi Lulu Alivyozindua "Foolish Age" Yake.

Chanzo cha Picha: BongoMovie

Bayern Munich ni Zaidi ya Chelsea. Poor Chelsea! Zikiwemp Picha 6 za Game.

Bayern Munich wamelipa kisasi cha kufungwa mwaka 2012 kwenye mashindano ya Champions League final kwa kuwachapa Chelsea waliokuwa 10 uwanjani kwa penati 5-4 kwenye UEFA Super Cup final, mechi iliyoishia kwa 2-2 ndani ya dakika 120. Javi Martinez wa Bayern alisawazisha kwenye dakika ya 121 na kusababisha mchezo upelekwe kwenye mashuti ya penati. Ndipo aliposikika Pep Guardiola akisema,  "Dakika moja imebadilisha kila kitu, nimefurahishwa sana na wachezaji wangu."  Wafungaji walikuwa kama ifuatavyo dak 120 Bayern Munich Frank Ribery Javi Martinez Chelsea Fernando Torres Eden Hazard Penalties Bayern Munich David Alaba Toni Kroos Philipp Lahm Frank Ribery Xherdan Shaqiri Chelsea David Luiz Oscar Frank Lampard Ashley Cole Jambo lingine unalopaswa kufahamu ni kwamba Frank Ribery ali dedicate goli lake kwa Boss wake Pep. Ribery aki dediacate goli kwa Boss wake Pep       Kipa wa Bayern

Ribery named European player of the season

MONACO: Bayern Munich's French winger Franck Ribery on Thursday won the award for European player of the 2012/13 season. The France international becomes the third player to win the award, the two previous winners being Barcelona duo Lionel Messi (2011) and Andres Iniesta (2012). Ribery won the award this time around ahead of Messi and Real Madrid's Portugal striker Cristiano Ronaldo . The 74-times capped Ribery was an essential cog in Bayern's charge to last season's historic treble of the Champions League crown, the Bundesliga title and the German Cup. Messi scored 69 goals last season and won the Spanish title, while Ronaldo rattled in 59 goals but only won the Spanish Supercup. Ribery, meanwhile, scored 10 goals in 27 Bundesliga appearances as well as once on Bayern's run to becoming European champions for the fifth time. He also set up Arjen Robben's decisive goal in the 2-1 Source: AFP

Muendelezo wa Habari Kuhusu Samuel Eto'o

Samuel Eto'o amepania kuwaonesha Chelsea na Jose Mourinho kwamba walikuwa sahihi kusitisha usajili wa Wayne Rooney.   Mcameroon huyo ameachana na club yake ya Urusi ya  Anzhi Makhachkala na kutia saini kwa mkataba wa mwaka mmoja na kuungana tena na  Mourinho, ambaye alikuwa meneja wake walipokuwa Inter Milan. Wayne Rooney, baada ya kupewa saa 48 na Mourinho ili atoe uamuzi,  jibu lake lilikuwa 'No, nabaki United.' Mourinho amekuwa akifuatilia mchezaji wa Manchester United Rooney, walakini baada ya kukataliwa mara mbili,  Chelsea waliamua kugeukia upande wa pili wa Samuel Eto'o.  "Nilikuwa na nafasi kadhaa za kuja Uingereza hapo awali, pamoja na ile ya kwanza wakati Mourinho alipokuwa hapa, lakini haikuwezekana kwa sababu moja ama nyingine." Alisema  Eto'o katika mtandao wa chelseafc.com. "Tangu wakati huo nimekuwa na kazi nzuri na mwenye bahati ya kushinda makombe mengi kwenye nchi tofauti tofauti, lakini moja ya ndoto

Makundi ya Champions League Haya Hapa. Always at Your Service!

Group A: Manchester United, Shakhtar Donetsk, Bayer Leverkusen, Real Sociedad Group B: Real Madrid, Juventus, Galatasaray, F.C. Kobenhavn Group C: Benfica, PSG, Olympiacos, R.S.C. Anderlecht Group D: Bayern Munich, CSKA Moscow, Manchester City, Viktoria Plzen Group E: Chelsea, Schalke, Basel, Steaua Bucharest Group F: Arsenal, Marseille, Borussia Dortmund, Napoli Group G: Porto, Atletico Madrid, Zenit, Austria Wien Group H: Barcelona, AC Milan, Ajax, Celtic

As It Happened Arsenal 2 - Fenerbahce 0. News in Pictures

Arsenal 2 Fenerbahce 0

Arsenal 2 Fenerbahce 0   Aaron Ramsey steers Gunners into Champions League group stages King of Emirates: Aaron Ramsey celebrates scoring for Arsenal Even so, the wider frustration of supporters is entirely understandable. Last night’s 2-0 win completed a facile 5-0 aggregate victory against Fenerbahce and it is clear that sterner tests await.

Do You Really Think Wayne Rooney Will Leave United? Bofya Hapa ili Kutoa Maoni Yako!

Amekuwa akihusishwa sana na kutoridhishwa na club yake na kwamba aliamua kupeleka ombi la uhamisho wakati bado United wakiwa chini ya Sir Alex Ferrguson. Na kuna wakati kama vile ilidhihirika wazi kwamba hakuwa na maelewano mema na Ferguson na hata wakati mwingine alimpanga kucheza namba ambayo haikumfurahisha kabisa.   Pia ilisemekana kwamba hata wakati fulani aliwaudhi wachezaji wenzake kwa tabia yake ya kutaka uhamisho. Jose Mourinho ndiye kocha aliyekuwa anamhitaji sana Wayne Rooney na alishapeleka maombi yake mara mbili, lakni kocha mpya wa United, David Moyes aliyakataa yote. Wakati mpambano wao wa jana ulipokaribia, Mourihno alisikika akisema analiweka swala la kumhitaji Rooney pembeni kwanza ili kungoja mechi yao iishe kwanza. Na baada ya mechi alitangaza kumpa Rooney saa 48 ili afanye uamuzi wake. Lakini sasa inasemekana pia Rooney ameamua kuachana na mpango wake wa kuondoka Old Trafford. Je, wewe unadhani Wayne Rooney ataondoka United kwenda

Wayne Rooney Haondoki Old Trafford

Wayne Rooney ameamua kuachana na mpango wake wa kuomba kibali cha uhamisho toka kwenye club yake na hivyo kuondoa kwenye kurasa habari za yeye kutaka kuondoka Manchester United.  Uamuazi huo utamfanya boss wa Chelsea José Mourinho kuachana na mpango wake wa kumshawishi kuhamia club yake ya Chelsea. Kwani hivi karibuni alisikika akisema kwamba anamwachia Rooney aa 48 ili afanye uamuzi.   Ingawaje Roney hajawahi sema kwa nini alitaka kuondoka Old Trafford, mahusiano na club yake hayakuwa mazuri hivi karibuni, baada ya Ferguson. kocha wa zamani kumchezesha kwenye position ambayo siyo yake, kumuacha kwenye mechi muhimu msimu uliopita na kudai kwamba Rooney alomba uhamisho.   Mourinho yeye alisema baada ya mechi yao iliyoisha kwa 0-0, "We are not silly to try something if somebody didn't start it. So I think it is time for the good of everyone to finish the story. For one side, for the other side," he said. "It depends on this [Rooney's decision]. It depe

"Manchester United is a Special Club." Says "The Special One" aka "The Happy One."

Manchester United and Chelsea ground out a dull but competitive 0-0 draw at Old Trafford, with Wayne Rooney playing all 90 minutes. Rooney has been the subject of speculation all summer, linked with a summer move to Chelsea after the Blues had two offers for him rejected by United. The reception he received was full backing from United fans; his name cheered loudest when it was announced prior to the game. Post-match Jose Mourinho was quizzed as to whether he would be submitting another bid, but was downbeat about his chances. The Chelsea boss said that the reception Rooney received would likely convince him to stay, leaving Chelsea's chances of signing the striker in tatters. He said: "Manchester United is a special club with special fans. I expect now he expects to stay." Asked specifically about a bid, Mourinho said: "It depends on his (Rooney's) reactions. We need to know how he is feeling." Moyes in response said simply: "He's go

As It Happened Manchester United vs Chelsea 0-0 Draw

Manchester United vs Chelsea. Things to Take From 0-0 Draw: As Written by HITC SPORT

The Premier League title hopefuls cancelled each other out in Monday night’s stalemate but there were a number of things to take away from the game. In the end, it appeared that both managers were relatively content with a point in this clash that failed to live up to pre-match optimism. The hype surrounded Wayne Rooney and the tug-of-war that the sides have played for his hand over the summer dominated proceedings, and the England international is part of the five things that were apparent after the 90 minutes of action. Wayne Rooney will be massively important for United or Chelsea The summer-long frustration of Rooney’s transfer saga will come to an end in forthcoming days, with the England international likely to stay with United for another season. One thing that can be said is the reasons for Chelsea’s attempts to buy the forward became clear in the 0-0 draw. Rooney had fitness concerns ahead of the game, but in a match that provided little spark or excitement in eith

Cristiano Ronaldo May go to United 2014

Via b/r.... Cristiano Ronaldo has informed Manchester United he would like to return to the club one day, probably to end his career, after a summer in which the Premier League champions have explored the possibilities behind the scenes of bringing him back from Real Madrid. United have been closely monitoring Ronaldo's position for the best part of a year and, while that has not resulted in a hard offer, their clear information is that he is open to the idea of moving back to Manchester, albeit not for at least one more season. The expectation at Old Trafford is that he will shortly commit himself to a new contract that recognises his status as Madrid's outstanding player, despite the impending arrival of Gareth Bale from Spurs for a world-record transfer. However, United are encouraged by the clear messages they have received about his affinity for the club and consider what he says to be genuine. Their information is that, realistically, they think he would be tempt

Cardiff City 3 vs Manchester City 2. Picha 9. Video 1 ya magoli.

Timu ambayo imepanda tu daraja msimu huu huko Uingereza Cardiff City jana wamewaburuza Manchester City kwa magoli 3-2.  Fraizer Campbell   alifunga magoli mawili ndani ya dakika nane, kuwahakikishia timu yake ambao walikuwa nyumbani ushindi mnono. Manchester City wamechezea kichapo hicho baada ya wao kuchabanga Newcastle kwa mabao 4-0 wikiend iliyopita katika mechi yao ya ufunguzi wa ligi.  Campbell alisema haya: "We’ll be the underdogs for a lot of the games this season but, as we showed, we’ve got great determination and hopefully that’ll see us through,” Aliliambia  Daily News . Na kuongeza “The most special thing was getting the three points. When you’re a promoted side, you don’t want to wait too long to get any points on the board so today was a massive bonus for us.”