Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2015

As published by THE GUARDIAN few hours ago.. Mixed reaction to ZEC move on Zanzibar polls US urges electoral commission to rescind annulment order

The United States has called upon the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) to reconsider the decision to nullify the results of the Zanzibar presidential election, saying the poll was held in an orderly and peaceful manner as declared by observers.       ZEC chairman Jecha Salum Jecha   A terse statement issued by the US Embassy in Dar es Salam yesterday says the United States government was “gravely alarmed” by the ZEC’s  chairman’s announcement of an intention to nullify the results.   ZEC made the announcement, citing what it described as a number of shortfalls in the conduct of the poll that had also contributed to delay in the compilation and announcement of the results.   “This action (announcement of cancellation of the poll results) halted an orderly and peaceful election, as evaluated by observer missions from the US Embassy, European Union, Commonwealth, and Southern Africa Development Community, and a tabulation process nearing completion,” the

Hivi ndivyo alivyoandika Professor Jay kuhusu ushindi wake jimboni Mikumi

 Joseph Haule aka Professor Jay alitangazwa mshindi katika kinyang;anyiro cha ubunge wa jimboni Mikumi huku yeye akiwa kwa tiketi ya Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA. Yafuatayo ndiyo aliyoandika kwenye ukurasa wake wa facebook. Naanza Kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma kwa kuniwezesha kufika mahali hapa nikiwa mzima na mwenye afya njema na kunipigania katika kila vikwazo na changamoto mbalimbali nilizopitia, Pili napenda kuwashukuru sana wananchi wote wa jimbo la langu MIKUMI kwa kuniamini, Kunichagua na kunipa Heshima hii ya kipekee na dhamana hii ya kuwatumikia, Nawaahidi nitashirikiana nanyi kwa unyenyekevu mkubwa, kwa nguvu zangu zote na uwezo wangu wote bila kujali itikadi za vy ama vyetu, Maana Lengo letu kuu ni kuleta mabadiliko na maendeleo ili tuweze kuijenga MIKUMI tunayoitaka, Mwisho kabisa napenda kuwashukuru sana Ndugu, Jamaa na Marafiki zangu wote kwa kuonyesha Upendo na ushirikiano wa nguvu kwa namna moja ama nyingine mpa

Porfessor Jay Kidedea Jimbo la Mikumi

Mkali, mkongwe na Lejendari wa muziki aina ya hiphop Joseph Haule alimaarufu kama Professor Jay ameibuka kidedea katika uchaguzi wa jimbo la Mikumi kupitia tikiti ya Chadema-Ukawa. Mh. Joseph Haule alimaarufu kama Professor Jay Mwimbaji huyo wa kufokafoka, ambaye hadi sasa ana albamu tano, alimdunda mpinzani wake kwa kishindo sana katika uchaguzi uliofanyika Jumapili 26 Oktoba 2015 .  "Siko hapa kwa ajili ya kuwaongelea wasanii tu bali na watu wa Mikumi pia. Baada ya hili natarajia kuteuliwa na serikali kuwawakilisha watu wangu vizuri zaidi. . . labda katika nafasi ya uwaziri ama kitu kingine. Kwa hiyo nitakuwa mwanamuziki wa kufokafoka wa kwanza kuwa waziri Afrika Mashariki. Jay aliwaambia wana habari baada ya ushindi wake kutangazwa. Jay alipata kura 32,259 dhidi ya 30,425 za mpinzani wake wa CCM Jonas Nkya. "Tumeshinda kwa tofauti ya kura 1,834 . Asante Mungu na watu wa Mikumi kwa kuniamini," Alitupia hiyo kwenye mtandao wake wa kijamii kuthibitisha ushin

Je, Unawafahamu wagombea Urais wa FIFA? Bofya...

Jérome Champagne  Musa Hassan Bility  Michel Platini  Prince Ali Bin Al Hussein  Gianni Infantino  Tokyo Sexwale   Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa

Middlesbrough Walibahatisha-Van Gaal

Middlesbrough walipata bahati ya kuzipatia penati, alisema meneja wa Manchester United Louis van Gaal. Aliyasema hayo baada ya timu yaku kutupiliwa virago nje ya mashindano ya League Cup na mabingwa hao siku ya Jumatano.   Keteni Wayne Rooney, Michael Carrick na Ashley Young wote walikosa penati na kufanya kuchukua kichapo cha 3-1.  "ni kama kasino vile, nyekundu ama nyeusi. Walikuwa na bahati lakini kiukweli unaweza kuilazimisha bahati ikupate. Jana tulifanya mazoezi ya penati, lakini ndiyo hivyo. Siwawezi hawa." Van Gaal aliwaambia waandishi wa habari.   United wamepoteza mechi tatu kati ya nne za mwisho za League Cup pale walipokutana na wapinzani wa ligi ya chini na Van Gaal amewalaumu vijana wake kwa kutokuwa na umaliziaji mzuri, hasa baada ya kukosa nafasi nyingi sana Jumatano.  "Ndhani tulikaribia sana, na tulipaswa kushinda kwa sababu tulitengeneza nafasi nyingi sana, hasa kipindi cha pili na dakika z

Wingu Zito Lafunika Uchaguzi Tanzania!

Uchaguzi wa Tanzania uliingia mashakani siku ya Jumatano tarehe 28/10/2015baada ya tume ya uchaguzi Zanzibar kutangaza kwamba uchaguzi huo ulivurugwa.  Bwana Seif Sharif Hamad wa CUF anayedaiwa kujitangaza kushinda urais visiwani Zanzibar Upande wa upinzani pia wamepinga utangazaji wa matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika siku ya Jumapili 25/10/2015 ambao umeshuhudiwa CCM wakipata upinzani mkali sana katika historia ya uchaguzi hapa Tanzania.  Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ilsema siku ya Jumatano kuwa uchaguzi uliofanyika Visiwani humo ambao ulikuwa na wapiga kura wapatao laki tano walioandikishwa waliopigia kura serikali ya Zanzibar na ilie ya Muungano kuwa ni lazima urudiwe wakidai kuwa uchaguzi ulivurugwa.  "Utaratibu haukuwa wa haki na sheria zilivunjwa . . . hivyo natangaza kwamba matokeo yote kuwa batili," alisema mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar Bwana Jecha Salim Jecha said. Siku ya Jumatatu kiongozi wa upinzani katika mbio za urais kwa Zanzibar Seif S