Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2014

Kamilisha Sentensi Ifuatayo Kwa Usahihi

Huwa napata shida sana kwani wengi hutoa majibu tofautitofauti wakati neno ni moja. Nakuomba unipe jibu sahihi, swali ni hili:- Eid Mubarak!!

Rooney wants to captain Man Utd to title

Via Goal.com   The striker hopes to lead the team on the field under Louis van Gaal but insists he will respect any decision the new manager makes as he looks to stamp his mark at the club Wayne Rooney is keen to captain Manchester United to the title but insists he will respect Louis van Gaal's decision should he choose someone else. Robin van Persie has been touted as a possible skipper due to the pair's relationship from their time together with the Netherlands, while Darren Fletcher wore the armband during Thursday's 7-0 win over LA Galaxy. Rooney is confident United can improve on last season's seventh-place finish and win the Premier League under Van Gaal and hopes to lead the team on the field under the new regime. "Of course we can win the title," he told reporters. "Last season was a bad one, we know that, but we are confident we can put it right. We have to believe we can win the title. "Of course I would like the captaincy but it&#

Van Gaal introduces his backroom staff

In less than two weeks, Louis van Gaal has made a huge impression as Manchester United boss. But as well as getting guidance from assistant manager Ryan Giggs, the Dutchman brought with him a backroom team essential to his way of working. Here, he introduces them...   Via Manchester United Frans Hoek Goalkeeping coach I've been working with Frans Hoek for more than 20 years. He is my goalkeeping coach and, for me, the goalkeeping coach has to have the same philosophy. He worked with me at Ajax Amsterdam, Barcelona, Bayern Munich and now in Manchester. I think it's good that he's my coach for the goalkeepers here. Albert Stuivenberg Assistant coach I have worked with Albert now for only one year and that is peculiar for me. Normally with my coaches I always have a longstanding relationship with them, but he has so much talent this boy. I picked him up in the [Netherlands] Federation, he was my coach for the Under-21s and worked as my scout in the Wo

Picha za Nguvu za Manchester United wakiwa USA

All About United's Ander Herrera

Via Manchester United Ander Herrera speaks of his childhood love of Real Zaragoza, why Eric Cantona is one of his idols and how he intends to make his mark on Manchester United What are your first memories of playing football as a child? I have always loved football and now it is my work. I began at Real Zaragoza when I was 10 or 11 years old. Real Zaragoza was my first team and they will always have a place in my heart. I remember my first years at Real Zaragoza and I will always appreciate what they did for me because they helped me to get here. After I arrived at Bilbao when I was 21 years old, I stayed there for three years and that is another important club for me because my family is from Bilbao and I am from Bilbao. Now I am with Man United, maybe the biggest club in the world, and it is a dream for me. I am looking forward to this season and I wish I could be an important player for Man United. What was so special about your time at Real Zaragoza? I arrived

Neymar's Brain on Auto-Pilot When He Plays Football, Say Japanese Neurologists

Via Bleacher Report Story By Mark Patterson , UK Staff Writer Picture by Buda Mendes/Getty Images Scientists in Japan have measured Neymar 's brain activity while he plays football and have worked out that, compared to an amateur footballer, he uses 10 percent less cerebral function when he performs a task such as rotating his ankle. The Brazil and Barcelona forward had his brain activity recorded during a session in February, and it was compared to those of footballers playing at a lower level in Spain, as well as several other athletes from different sports. Their findings back up the theory that a player of Neymar 's quality owes a great deal to instinct and playing naturally, with the brain almost on auto-pilot as he makes football decisions. Researcher Eliichi Naito told AFP , via Yahoo! Sports: "From MRI images we discovered Neymar 's brain activity to be less than 10 percent of an amateur player. It is possible genetics is a factor

FURAHA YA ARGENTINA NA HUZUNI YA UHOLANZI HII HAPA KATIKA PICHA MARIDADI

Hii ni baada ya Argentina kushinda kwa penati 4-2 wakati kipa wao akiibuka shujaa kwa kupangua panati 2 za Uholanzi huku Louis Van Gaal akipuuzia kufanya sub ya kipa Tim Krul na kumuacha kipa wake namba one ambaye alionekana dhahiri kutokuwa mzoefu wa kucheza penati.

Huyu ndiyo Juan Zuniga wa Colombia Aliyemuumiza Neymar JR, na sasa aanza kubaguliwa na kutishiwa Maisha yake

Juan Zuniga akiwa mgongoni mwa Neymar JR wakati akimfanyia madhambi mbrazil huyo na kumsababishia atoke nje kwa machela na dakatri wa timu ameshasema kwamba itamchukua Neymar hadi wiki 6 kuwa fit. Endelea kusoma hapa chini habari kamili. After injuring Neymar and putting him out of the rest of the World Cup last night, Juan Zuniga was always going to find himself in the eye of a storm. But that the criticism of Zuniga’s brutal foul on Neymar has descended into racial abuse and death threats is a sorry sight, but sadly is almost par for the course when these situations arise. Brazilians have taken to Twitter to racially abuse Zuniga, calling him a ‘monkey’, and tagging him with death threats. ADVERTISEMENT Several have issued cowardly warnings that Zuniga shouldn’t be allowed to leave Brazil alive, while others have limited themselves to hateful racial abuse. It goes without saying that Brazil is one of the most racially diverse countries in the world; its soci

Kama Kawaida http://abelrk.blogspot.com inakuletea Matukio ya FIFA World Cup Quarter Final kati ya German v France.

German 1 (Hummels) v France 0 Katika mchezo ambao ulikuwa mgumu sana kutabiri kwamba nani angeibuka kidedea Ujerumani walijidhatiti vilivyo na kufanikiwa kuwazima Ufaransa mapema sana na baadaye kulishikilia goli lao hilo hata mwisho wa mpambano.   Ilimbidi kipa wa Ufaransa kuudaka mpira ukiwa tayari umeshatinga nyavuni. Pamoja na kwamba Ufaransa walijitahidi sana kulishambulia goli la Ujerumani mara kwa mara wakitafuta goli angalao la kusawazisha huku wakimtumia mshambuliaji wao hatari sana Benzema lakini walinzi wa Ujerumani walikuwa imara sana wakiongozwa na golikipa waoa mbaye hakutaka kabisa mchezo ama utani langoni mwake. Hivyo mwisho wa dakika 90, Ujerumani 1 v Ufaransa 0.  Wachezaji wa Ujerumani wakishangili goli lao lililopachikwa nyavyni na Mats Hummels Ujerumani wametinga nusu fainali ambapo watakuwa na kibarua kikali pale watakapo pepetana na Brazil ambao waliwapelekeha mchakamchaka Colombia na kuwafurumusha nje ya mashindano kwa ushindi wa 2-1.

Kama Kawaida http://abelrk.blogspot.com Inakuletea Matukio ya Mechi za jana FIFA World Cup Quarter Final. Hapa ni Brazil v Colombia.

Brazil 2 {{Thiago Silva na David Luiz}} v Colombia 1 {{James Rodriguez}} Angalia haya ndiyo matukio ya mchezo wao wa jana ambapo Brazil walihakikisha kwamba sio tu wanajenga heshima toka kwa Colombia bali pia wanatinga fainali. Pia alithibitisha kwamba mapungufu yao kama yalivokuwa yakizungumzwa na wachambuzi wengi wa soko si kweli na kwamba wao hubadilika kutokana na mchezo.   Alikuwa ni Thiago Silva aliyewaweka Brazil mbele baada ya kuunganisha free-kick iliyochongwa kwa ufundi na Neymar JR Ikumbukwe kuwa Brazil na Colombia walikutana jana katika World cup kwa  mara ya kwanza katika historia ya kombe la dunia. Colombia, timu ambayo inasifika sana kwa mchezo wa kasi na mashambulizi ya mara kwa mara wakiongongozwa na James Rdriguez ilikuwa ni timu ngumu sana kufungika lakini jana walikutana na kisiki Brazil ambao walijiimarisha sana hasa sehemu ya kiungo huku wakitumia vizuri sana wings zao ambazo zilikuwa zinapeleka mashambulizi mazuri, ya nguvu na ya mara kwa mara.