Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2013

Je, Huu Ndiyo Mwanzo wa Kuporomoka kwa Kiwango cha Liverpool? Liverpool 2 vs Swansea 2 As It Happened at the Liberty Stadium

Miguel Michu celebrates after scoring Swansea's second goal    A thrilling evening at the Liberty Stadium saw Swansea narrowly miss out on a victory against an in-form Liverpool. The performances of both sides were overshadowed by Swans newcomer Jonjo Shelvey as he had a hand in all 4 goals against his old club. Swansea were a goal up after just 2 minutes but Liverpool soon came back with a goal from Daniel Sturridge after a sloppy pass by Shelvey. The visitors managed a second goal 10 minutes before the half-time from Victor Moses whistle after another mistake from the club's former player. Swansea's Michu managed to equalise with a header in the second half. Jonjo Shelvey later apologised to the Swansea City fans after handing both goals to Liverpool. Swansea are now in 13th place in the Premier League table and Liverpool move to top. Source: ItvPlayer

D'You Also Think Marouane Can Attain a Legendary Status at Old Trafford?

Marouane Fellaini is looking ti attain legendary status at United     David Moyes thinks Marouane Fellaini has excellent technical ability       Marouane Fellaini when playing for his former club Marouane Fellaini with David Moyes before the start of the news conference

Fellaini Fits Just Right

Round: Fellaini fits just right Marouane Fellaini has all the physical and mental attributes to bring something new to the United midfield, according to assistant manager Steve Round. The Belgian midfielder’s move from Everton has seen him team again with Round and Reds boss David Moyes following five years working under the pair at Goodison Park. Having worked extensively with Fellaini at close quarters, Round is certain the 25-year-old’s skills and abilities will complement those of his new team-mates. “He will add some real physical presence to us in midfield, some strength, and he scores goals,” Round told MUTV. “He’s a player that will get regular double figures, and he is maybe a player that we didn’t really have in the middle of that midfield. “We have some very good footballers – Michael Carrick is an unbelievably good passer, Tom Cleverley is busy, lively and links play, Anderson will drive forward with the ball, dribble and create.

Hatimaye Fellaini Atua United, Ozil Aenda Arsenal. Na stories nyingine nyingi.

Manchester United hatimaye wamekamilisha usajili wa Mchezaji toka Everton, Marouane Fellaini kwa donge la  £27.5m. Inasemekana kwamba Fellaini mwenyewe ana furaha sana kujiunga na mashetani wekundu hao kutoka jiji la Manchester, na kwamba yupo tayari kufunga magoli mengi iwezekanavyo ili kulipa fadhila za kocha wake mpya David Moyes.    Haya ndiyo aliyoyaongea Fellaini mwenyewe kuhusu usajili wake: 'It’s a big moment for me,' I waited for a long time, I’ve worked hard for this and I’m very happy to join this great club. It’s the biggest club in the world… I tried everything to join.  It’s been difficult, a very long day. I waited to the end… I know the situation, but this day has been very long.  I hope I can score a lot of goals for  Manchester United . When I was young it was a dream to play for Manchester United. Now I’m here so I’ll try to give my best to the club. I want to win trophies. That’s the most important thing. Kwa mujibu wa meneja David Moyes, Fel

Mesut Ozil Abakisha Dakika Chache tu Kutangazwa Mchezaji wa Arsenal

Arsenal walikuwa wakichuana vikali sana na PSG kutaka kumsainisha Ozil lakini hadi sasa inasemekana tayari Arsenal wana uhakika wa kumnyakua mchezaji huyo kwani taratibu zote zinaelekea kumalizika ikiwemo kufanyika kwa vipimo mbalimbali vya afya yake na malipo ya dau la  £44.2m. Wakati katika twitter David Ornstein wa BBC anasema: David Ornstein          ✔   @bbcsport_david Arsenal agree €50m deal with Real Madrid for Ozil. Personal terms in place & medical in Ger today but not signed yet #bbcfootball #afc #rmfc 1:53 PM - 2 Sep 2013 2,158  RETWEETS   193  FAVORITES Reply

Bale's Transfer to Real Madrid Confirmed

The 24-year-old Welsh Tottenham Hotspur FC player has signed for Spanish club Real Madrid FC for a reported 100 million euro fee in a six year deal. Gareth Bale, the Tottenham Hotspur footballer, poses for a portrait in a hotel in Clerkenwell on March 12th 2012 in London Tottenham manager Andre Villas-Boas was the first to announce that Bale, 24, was leaving when he spoke to reporters after his team’s 1-0 Premier League defeat in the north London derby to arch-rivals Arsenal at the Emirates Stadium. Bale has not played in any of Spurs’ five opening Premier League or Europa League matches this season due to what was described as an ankle injury. Via Sport Live

Jovvin Bopape Nyingi Aihama Man United na Kwenda Chelsea Baada ya Kufungwa na Liverpool Jana. Ushahidi wa Msg zake Upo.

JOVVIN BOPAPE NYINGI Huyu ni Jovvin Bopape Nyingi . Ni mkazi wa Arusha maeneo ya Sorenyi. Alijulikana sana kama mshabiki nguli wa Man United tangu kuzaliwa kwake. Lakini jana aliumia sana kwa kitendo cha timu yake ya Man United kuruhusu kichapo cha goli moja dhidi ya Liverpool. Ilipofika usiku mnamo majira ya kuelekea saa tatu hivi alinitumia texts zifuatazo zikionesha kwamba yeye sio mshabiki wa United tena na kwamba anayofuraha sana kuhamia Chelsea. Texts zake hizi hapa (1) Inbox SMS Jovvinn (+255758466068) 2013/09/01 20:58 Nimeama timu mm ni chelsee kuanza leo (2) Inbox SMS Jovvinn (+255758466068) 2013/09/01 21:02 Yah mbaka nitakapo hama ila sijui kama nitabadilika (3) Inbox SMS Jovvinn (+255758466068) 2013/09/01 21:07 Nawatakia maisha mema na moyes wenu ila lazma tubebe kombe (4) Inbox SMS Jovvinn (+255758466068) 2013/09/01 21:16 Ni uhamuzi bora nashanga sasa napata raha nakushauri uje uku kwa sababu kuna matunda ya mtini nayalio dond

Liverpool 1 vs Man United 0; Arsenal 1 vs Spurs 0. As It Happened at CR PUB in Arusha

Hii ni jana majira ya kuanzia saa tisa hivi alasiri wakati wa mpambano mkali wa kukata na shoka kati ya Liverpool na Manchester United wa Premier League ya kule Uingereza. Ambapo Liverpool waliweza kuutumia uwanja wao wa nyumbani kwa kuwachabanga Man United 1-0. Goli ambalo lilifungwa na Sturidge kunako dakika ya 3 tu ya mchezo huo, na goli hilo kudumu hadi mwisho wa mchezo. Hapa Arusha kumekuwa na msemo miongoni mwa washabiki wa Liverpool aka "You will never walk alone" kuwa goli linalofungwa na mshambuliaji wao machachari sana aliyesajiliwa msimu uliopita kutokea Chelsea Sturidge hua halisawazishwi na kwamba pindi anapofunga goli tu wana uwezo wa kumtoa golikipa wao ili goli libaki wazi kwani hakuna timu yenye uwezo wa kusawazisha goli lake. Msemo huo sasa ulitimia kwa mashabiki wa Man United ambao walidhani ni mzaha mzaha tu na kwamba wakati wowote timu yao ingesazisha bao hilo. lakini wapi.....! Basi hadi mwisho wa matanange huo Liverpool 1, Man United 0. Hongera kwa