Skip to main content

Ni Sawa Kwa Man City Kumuuza Mario Balotelli?

Ni mchezaji mwenye purukushani za kutosha awapo uwanjani. Purukushani zake ni za aina mbili. Zipo zile zinazoisaidia timu yake ya Man City pamoja na timu yake ya taifa ya Italy. Lakini pia zipo zile zinazowafanya siyo washabiki wa soka tu wakereke bali pia hata makocha wake.

Lakini Balotelli ni mchezaji mwenye kipaji cha cha pekee kwa miongoni mwa wachezaji wa umri wake.

Lakini sports director wa Man City, Brian Marwood, alikuwa na haya ya kusema kumuhusu Balotelli.
 
“I think that it’s important to make a good example. I think – and we all know who we are talking about – that you will get people within the system who do not show the right values and the right behavior.

“In the main, we have a ­fantastic group of players here. I look at Pablo Zabaleta, I look at Vincent Kompany, I look at Joe Hart, Gareth Barry and Joleon Lescott.

“I think we have a lot of players who can behave in the right way. You just have to make sure that they are the role models.”
Katika mambo aliyowahi kuyafanya Balotelli tangu ajiunge na Man City haya hapa machache:-

  • Set his house ablaze by letting fireworks off in his bathroom
  • Explained to police who stopped him in his car that he was carrying thousands of pounds worth of cash on his person by saying "because I am rich"
  • Sent out on an errand for cleaning products by his mother only to return with a delivery van containing a giant trampoline, Scalextric set, a table tennis set and two Vespa scooters
  • Drove into a women's prison in his hometown of Brescia to see what it was like inside
  • Threw a dart out of a first-floor window in the direction of some City youth-team players
  • Drove around Manchester city center dressed as Santa Claus throwing money to random members of the public.
  • sasa ukorofi wake na vituko vyake, wewe ungekuwa ndo bosi wake, ungemuuza?

Comments

Popular posts from this blog

Joti naye auaga ukapera

Msanii wa maigizo ya vichekesho nchini maarufu kama Joti nae ameliaga kundi la makapera baada ya kufunga ndoa. Msanii Joti pia ni maarufu sana katika matangazo ya mtandao wa Tigo. Joti pia ni maarufu sana katika kuigiza sehemu mbalimbali kwani mara nyingi huigiza kama kijana wa kawaida, babu, mtoto na wakati mwingine huigiza kama msichana. Hongera sana Joti kwa kuoa! May your marriage last forever!