Skip to main content

RAIS MAGUFULI: UGONJWA USIWE SABABU YA KURUDI NYUMA.

RAIS MAGUFULI: KAMWE UGONJWA HUU USIWE SABABU YA KURUDI NYUMA

“Ndugu Wafanyakazi wenzangu nawapongeza sana kwa kuchapa kazi, mimi nipo pamoja nanyi na natambua kazi nzuri mnayoifanya, nawaomba katika kipindi hiki ambacho dunia inapita katika wakati mgumu wa kukabiliana na ugonjwa wa #Corona, sisi tuendelee kuchapakazi, kamwe ugonjwa huu usiwe sababu ya kurudi nyuma na kuacha kuwahudumia Watanzania, mimi naamini Mwenyezi Mungu atatuvusha, ” - Rais Magufuli.

#RaisMagufuli amewapongeza na kuwatakia heri wafanyakazi wote hapa nchini ambao leo tarehe 01 Mei, 2020 wanaadhimisha siku ya wafanyakazi #MeiMosi.

Mwaka huu sherehe za Mei Mosi hazitafanyika ili kuepusha mikusanyiko ya watu, ikiwa ni hatua muhimu ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19).

# MwenyeziMunguAtuvusha #Covid19 #CoronaTanzania #CoronaDeaths #VifoCorona

Credit: #AZAMTV

Comments

Popular posts from this blog

Joti naye auaga ukapera

Msanii wa maigizo ya vichekesho nchini maarufu kama Joti nae ameliaga kundi la makapera baada ya kufunga ndoa. Msanii Joti pia ni maarufu sana katika matangazo ya mtandao wa Tigo. Joti pia ni maarufu sana katika kuigiza sehemu mbalimbali kwani mara nyingi huigiza kama kijana wa kawaida, babu, mtoto na wakati mwingine huigiza kama msichana. Hongera sana Joti kwa kuoa! May your marriage last forever!

Ni Sawa Kwa Man City Kumuuza Mario Balotelli?

Ni mchezaji mwenye purukushani za kutosha awapo uwanjani. Purukushani zake ni za aina mbili. Zipo zile zinazoisaidia timu yake ya Man City pamoja na timu yake ya taifa ya Italy. Lakini pia zipo zile zinazowafanya siyo washabiki wa soka tu wakereke bali pia hata makocha wake. Lakini Balotelli ni mchezaji mwenye kipaji cha cha pekee kwa miongoni mwa wachezaji wa umri wake. Lakini sports director wa Man City, Brian Marwood, alikuwa na haya ya kusema kumuhusu Balotelli.   “I think that it’s important to make a good example. I think – and we all know who we are talking about – that you will get people within the system who do not show the right values and the right behavior. “In the main, we have a ­fantastic group of players here. I look at Pablo Zabaleta , I look at Vincent Kompany , I look at Joe Hart, Gareth Barry and Joleon Lescott. “I think we have a lot of players who can behave in the right way. You just have to make sure that they are the role models.” Katika ma